MamboJambo Summer Jam Iddi Mosi


Norlens Wales | 4:11 PM |

 Mambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!! Bou nako, Stopa Rhymez, Fido vato, WEUSI, Taiga Raiz ,Bad taito, J4c, May C, Vee jay, G faya, Mecca cheka, Effect Zero, Gentriez, YungOmega na Mirry Candle juu ya stage la kibabe,sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo twende sawa kibabeeeeeee!!!! Endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS