728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
01 August 2012

GENTRIEZ: WANENE NDO NYUMBANI NA VITHIBITISHO HIVI HAPABaada ya mapema leo Nolniz Blog kupost kuhusiana na maneno ya malumbano kati ya Reord Label ya Nisher Entertainment na Wanene Entertainment kuhusiana na nani hasa ndiye mmiliki halali ya Gentriez, (ISOME HAPA ) Kupitia ukurasa wake wa Facebook Gentriez amepost hii picha na maneno haya
"Hii ndio contract/mkataba wangu niliosaini kuwa msanii wa record lebel ya wanene entertainment.. napenda watu watambue hilo kuwa nipo chini ya record lebel ya wanene entertainment... Sina mkataba na record lebel nyngne yeyote kama inavyosema wala siko nako to nako wala weusi mimi ni mriver camp,.. Asanteni sana and wanene in the house"
 Katika moja mbili tuliamua kumtafuta CEO wa Wanene, Darsh amefunguka kwamba ukweli na uongo wa nani alikuwa mkweli kwa madai yake!!
  TUKATAKA KUJUA DARSH KAMA DARSH ANASEMAJE KUHUSIANA NA ISUE HIYO???...
CEO wa Wanene akawa na haya ya kusema.....
"...Kwamba ndo Hivyo Uwongo imeonekana na hiyo contract imesigniwa siku nyingi... Kwahiyo saa hivi watu wanaona kuwa sijakuwa namgombania Gentriez wala nini tangu siku nyingi alikuwa msani wangu na Nisher alikuwa anamgombania kupitia net nakurelease nyimbo bila Kuongeya na sisi na siyo freshi"
KIPI MASHABIKI WAKITEGEMEE KUTOKA KWA GENTRIEZ SASA AKIWA WANENE??
"..Wategeme video yake mpya inaitwa ghetto produced by Darsh mixed by Dx ambaye Ina feature HardMad, Ghettograde Wa warriors from the east na Bou Nako na nyimbo Yake mpya inaitwa Baki Na Mimi featuring The Artist of Wanene Entertainment na G Nako.."

Darsh Pandit CEO WANENE


Katika kumalizia Darsh akatoa ujumbe kwa fans wote wa music;

"Nawambia Wasubiri mixtape ya msani wetu kutoka us Antoneyo Aka the artist inaitwa Vibing na music video Yake pamoja na Kalapina na yake ingine pamoja na AY na G Nako inaitwa takeoff na shukrani sana kwa support yenu shout out nolniz blog na kuna vingi mpya zinakuja.. http://soundcloud.com/darsh-pandit/ 
...Wanene's In The House..."


©2012 Nolniz Blog™
GENTRIEZ: WANENE NDO NYUMBANI NA VITHIBITISHO HIVI HAPA Reviewed by Nolniz on Wednesday, August 01, 2012 Rating: 5 Baada ya mapema leo Nolniz Blog kupost kuhusiana na maneno ya malumbano kati ya Reord Label ya Nisher Entertainment na Wanene Entertainmen...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: