728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 August 2012

Chalii mtoto wa Bibi | Elimu kwanza mambo mengine baadae

Elimu ni ufunguo wa maisha, Chalii ya R ama ajulikanavyo kama Nigga C toka Jambo Squad watoto wa bibi, mapema leo ametoka kumpokea Lady Fire, moja ya member wa kundi hilo pande za stand kuu ya Arusha akiwa ametoka shuleni Singida anapochukua elimu yake ya juu.
Inabidi pia kwa wanamuziki wengine kujali kwanza elimu hata kama music ndio kipaji chao na kuangalia mambo muhimu ya mbeleni kwani wanaweza fanya kazi nyingine za kuajiriwa ama kujiajiri na music ukawa kama ajira yao ya ziada!!

©2012 Nolniz Blog™
Chalii mtoto wa Bibi | Elimu kwanza mambo mengine baadae Reviewed by Nolniz on Friday, August 17, 2012 Rating: 5 Elimu ni ufunguo wa maisha, Chalii ya R ama ajulikanavyo kama Nigga C toka Jambo Squad watoto wa bibi, mapema leo ametoka kumpokea Lady Fire...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: