728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 July 2012

Rihanna; Lily Wayne kati ya under 30 wanaotengeza pesa zaidi

Rihanna na Lil Wayne wameingizwa kwenye list ya watu kumi waliotengeneza kiasi kikubwa cha pesa 2011/2012.
Katika listi hiyo ya wenye umri chini ya umri 30 waliotengeneza pesa nyingi iliyotolewa na Forbes imewashangaza sana wengi kwamba katika list hiyo wanawake wameingia 6 na wanne wakiwa ndani ya tano bora. Kwa mujibu wa Forbes, kileleni yupo Taylor Swift katika. Ripoti hiyo ya Forbes imeonesha kuanzia May 2011 and May 2012 Swift ametengeneza dollar million$57.  Rihanna yeye katika kipindi sawa na hicho ametengeza dollar million $53 million na kumfanya kushika nafasi ya Tatu. 
Kwa mujibu wa Forbes, list hiyo imeandaliwa ikizingatia mauzo ya album na matamasha, malipo ya movie na siku zilizooneshwa, faida pamoja na pesa walizopata katika matangazo ya bidhaa waliyoshiriki.
Akiwa na miaka 18 tuu, Justin Bieber anafuatia kwa karibu nafasi ya pili nyuma ya Swift kwa makusanyo ya dollar milioni $55. Bieber aliingiza zaidi kutokana na mauzo ya nyimbo zake, matamasha pamoja, matangazo ya bidhaa pia. Bieb pia amefanikiwa zaidi katika uwekezaji wake kwa kuanzisha makampuni kama Stamped, Tinychat pamoja na Spotify.
Nafasi ya nne yupo Lady Gaga, $52 million likiwa ni anguko kubwa kwake kwani mwaka jana alitengeneza dollar milioni $90 na kushika nafasi ya kwanza.
Nafasi ya 5 ni Katy Perry. $45 million Kiufupi huu ndio msimamo wa waburudishaji kumi waliotengeneza hela ndefu zaidi

Taylor Swift
 1. Taylor Swift
2. Justin Bieber
3. Rihanna
4. Lady Gaga
5. Katy Perry
6. Adele
7. Kristen Stewart
8. Lil Wayne
9. Taylor Lautner
10. Robert Pattinson
Rihanna; Lily Wayne kati ya under 30 wanaotengeza pesa zaidi Reviewed by Nolniz on Saturday, July 14, 2012 Rating: 5 Rihanna na Lil Wayne wameingizwa kwenye list ya watu kumi waliotengeneza kiasi kikubwa cha pesa 2011/2012. Katika listi hiyo ya wenye umri...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: