NOLNIZ BLOG | 2012 TANZANIAN BEST NEWCOMER BLOG


Norlens Wales | 1:51 PM |


Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitowashukuru wote mlochangia kuifikisha hapa Blog yetu ilipo kwa ushirikiano mlouonesha katika kuipigia kura na kuifanya TANZANIAN BLOG AWARDS kuifanya nolniz.blogspot.com iwe BEST TANZANIAN  NEWCOMER BLOGKama inavyoonekana katika picha ni sehemu ya screen ikionesha matokeo ya kura zote katika kipengele cha best newcomer blog na hivyo nolniz blog Ndio Best Newcomer Blog of the Year


BE BLESSED ALL


2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS