New Video | Witnesz & Mokeyz - De Toir


Norlens Wales | 3:25 PM |Finaly Video ya wimbo "De Toir' yake Witnesz imetoka..!! Kama hujapata nafasi ya kuuskia cheki video hiyo na kwa upande wangu ndio Music & Video na  ya pekee Tanzania yenye mchanganyiko wa lugha 7 tofauti za Kimataifa pamoja na za hapa Tanzania pia. Icheki then show your support kwa kushare....!!


©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS