MoPlus na pini jipya "Hizi Flow"


Norlens Wales | 3:52 PM |


Baba wa ukoo aka Mo plUs anadrop another brand new joint la  "Hizi flow" ikiwa ni kazi nyingine heavy from noizmekah.com, the revolution goes on and on till the break of dawn.tukifika hapa tunaswitch hizi flow,Dunya akinidere anakinidere anaezani niko sober bro,call me a big boss,kunidondosha sio easy sio possible,napotimba wanapoa ka viporo" ni baadhi ya punchlines ndani ya joint hili alokalisha mtu mzima plus wa ukoo,take a listen and bump this revolutionary joint till yo speakers fall out!A city all day
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS