728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
05 July 2012

Chris Brown akubali kuzichapa na Drake Ulingoni
Unakumbuka story ya promoter wa ndondi aliyetangaza dau la Dola Millioni Moja kwa kila mmoja ili Chris Brown na Drake wapimane ubavu  ulingoni?? Baasi Chris Brown amekuwa wa kwanza kukubali kuingia ulingoni na kumtibu Drake.
Chris akihojiwa na Mapaparazi nje ya Hollywood Club kuhusiana na isue hiyo alikubali kuzichapa na hasimu wake huyo ulingoni ili kuoneshana nani mbabe zaidi ya mwenzake!!
Kutokana na hilo tunamsubiri tuu Drake naye akubali na ikitokea hivyo mpambano huo utachezeka na mbabe atajulikana kati yao ili maneno mengi yaishe.©2012 Nolniz Blog™
Chris Brown akubali kuzichapa na Drake Ulingoni Reviewed by Nolniz on Thursday, July 05, 2012 Rating: 5 Unakumbuka story ya promoter wa ndondi aliyetangaza dau la Dola Millioni Moja kwa kila mmoja ili Chris Brown na Drake wapimane ubavu  uli...

[][carousel1]

No comments: