728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
10 July 2012

Baada ya Air Yeez 2 Sneakers | Kanye aja na AIR YEEZY T-Shirt

Wakati wengi wanaamini Kanye West ameshafulia baada ya Kanye West Air Yeezy sneakers 2 kuuzwa kwa bei ghali sana sokoni, sasa ametangaza ujio wa kitu kingine ambacho ni AIR YEEZY T-Shirt.
Graphic designer Wil Fry wakati huu ndiye aliyefanya toleo dogo la graphic t-shirt kwa bidhaa hiyo. Kwa "toleo dogo" ambalo T-shirt hiyo imetoka, tuna maana ya - moja. Ndiyo, hasa moja t-shirt. Si tano, si mbili ni
 moja na ambayo inauzwa  Dollar za kimarelkani $ 90,300/=.

Unaweza kudhani utani kwamba kutoa pea "moja" na hata kufikiria na kuashiria bei ya T-shirt lakini jozi ya Air Yeezy sneakers 2 ambazo nazo zilikuwa zinauzwa ghali sana hazipo tena sokoni hivyo  kuna MTU nje ambayo atainunua! Bhaaas, Kama mtu huyo ni wewe, unaweza pia kwenda kwenye ebay kuinunua mzeiyaaa kitu kimoja na itakuwa inaonekana kwako tuu maana toleo lenyewe ni moja©2012 Nolniz Blog™
Baada ya Air Yeez 2 Sneakers | Kanye aja na AIR YEEZY T-Shirt Reviewed by Nolniz on Tuesday, July 10, 2012 Rating: 5 Wakati wengi wanaamini Kanye West ameshafulia baada ya  Kanye West Air Yeezy sneakers 2 kuuzwa kwa bei ghali sana sokoni, sasa ametangaza u...

[][carousel1]

No comments: