Rihanna Aikimbia Hotel London


Norlens Wales | 5:49 PM |

Mwanamziki nyota wa Pop Rihanna amelazimika kuikimbia hotel mjini London mapema Leo hii kutokana na moto uliozuka ndani ya hoteli hiyo

Kwenye account yake ya twitter Riri amepost  picha iliyomuonesha akiwa amechoka ndani ya Gari akisogeza masaa Wakati tatizo hilo likiendelea kushughulikiwa!
Gari la zima moto nje ya hotel aliyokuwa Rihanna
      Rihanna alikuwa Corinthian Hotel mjini London na mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana

Kwenye account yake ya Twitter Rihanna Alitweet:

"Fire in the Telly #evacuationlifeinstagr.am/p/MXsud2BM7Z/— Rihanna (@rihanna) June 27, 2012
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS