Amber Rose kuacha muziki ili kuilea familia yake


Norlens Wales | 2:22 AM |

Mchumba wa Wiz Khalifa Amber Rose baada ya kuachia wimbo wake mwezi wa kwanza mwaka huu amesema hatotoa wimbo mwingine kwani anajiandaa kwa ajili ya kulea familia yake.
Amber ambaye kwa sasa amechumbiwa na Rapa mwenye mafanikio makubwa nchini Marekani na duniani kote kwa ujumla, Wiz Khalifa amesema hatarajii kuendelea kufanya sanaa ya muziki kutokana na kwamba kwa sasa yeye na Wiz wanampango wa kupata watoto hivyo ili familia yake iweze kupata matunzo mazuri zaidi kutoka kwake hana budi kufanya hivyo
Amber (28) kwa sasa anaandaa track yake mpya akiwa kamshirikisha Wiz Khalifa pamoja na The Boss Rick Ross na atakuwa akifanya kama hivyo pale tuu atakapokuwa akihisi inafaa


©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS