728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
19 May 2012

T.I. Kustaafu Mziki

T.I ameweka wazi mpango wake wa kutaka kuachana na Game ya Mziki wa Hip Hop na kufanya mishe nyingine na kukiri kwamba alikuwa na Plan ya Kufanya hivyo kitambo ila kilichomfanya/ kinachomfanya awepo mpaka sasa katika game ni LOVE yake Kwa MUSIC
"This is what everyone fails to realize: I want out," alisema T.I.
"Where the game is going to and what it has evolved into from a personality standpoint, it goes against who I am as a person. So I want out. I'm [still] in it because I love music and because I have obligations contractually"
Hayo ni maneno ya T.I katika interview na 105.1s
T.I a.k.a "Trouble Man" kwa sasa yupo studio akiandaa Album yake ya nane ambayo nahisi ndo itakuwa ya mwisho kama kweli ataamua kutimiza maneno yake hayo©2012 Nolniz Blog™
T.I. Kustaafu Mziki Reviewed by Nolniz on Saturday, May 19, 2012 Rating: 5 T.I ameweka wazi mpango wake wa kutaka kuachana na Game ya Mziki wa Hip Hop na kufanya mishe nyingine na kukiri kwamba alikuwa na Plan ya Ku...

[Habari za Wasanii][carousel1]

No comments: