NOIZ | COLLABO HEAVY YA MWEZI


Norlens Wales | 3:25 AM |

Hiphop Mc's anzia Dar - Arusha - Mombasa mpaka Nairobi "Hiphop
ni worldwide
ni kazi inayofanywa kwa
pamoja kuimarisha game na
mshikamano ambao upo kati ya
wasanii,Geez Mabov anarepresent Dirty South pande za DSM, FiDo, MoPlus, Frost na BouNako wanarepresent Arachuga, Lavosti toka Ukoo MauMau anarepresent Mombasa na RitchieRich toka HeadBangaz International akirepresent pale Nairobi City,Video ya
pini hili Soon!!!

DOWNLOAD HAPA©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS