Baada ya hayati Ngwair kufanya wimbo uitwao MADEMU WANGU, kwa heshima yangu kwake nikapendekeza kurudia wimbo huo kwa kutumia mashairi yangu, kwa bahati nzuri uongozi wa Bongo Records chini ya P Funk umeridhishwa na kazi yangu hivyo kunipa Go Ahead. Mixing imefanywa na mtayarishaji Palla. Ahsanteni na naomba muupokee pia....

No comments: