'AIBU' Wimbo mpya toka kwa Bexy Wamusic, mwana muziki ambae ana ndoto kubwa ya kupeperusha bendera ya Unyamwezin Mboka A.K.A. Tabora japo anaishi na kufanyia muziki wake Dar Es Salaam na Moro Town. Amewahi kupita vyema katika chorus ya wimbo wa O-Ten msanii alie toka kitambo akiwa na logo ya East Coast Team unaoitwa Waambie na ndie alie fanya wimbo wa ukisinzia rmx alio utoa mwanzoni mwa mwaka 2015 akiwa na mkali wa music East Afrika Diamond PlatinumZ & Queen Darling.
Aibu ni wimbo ulio beba story ya mapenzi na ni story ya kweli inayo muhusu msanii mkubwa hapa Tanzania
No comments: