Download | Roma & Bob Junior - Maumivu [Audio]


Norlens Wales | 10:06 PM |Download collabo mpya na ya kwanza kutoka kwa Roma Mkatoliki na Bob Junior Sharobaro...
Maumivu ni ngoma iliyofanywa kutimiza ahadi ya Roma aliyoahidi kuwa iwapo Brazil ingetolewa kwenye robo fainali ya michuano ya kombe la dunia basi yeye angehama kutoka Record Label ya Tongwe na angehamia kwa Bob Jr na siku ya siku Brazil ilichapwa goli 7 - 1 na timu ya taifa ya Ujerumani.
 Sasa ahadi ni deni na deni lenyewe ndio hili, download mzigo ni free for Promo only..
Enjoy

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS