Mchaka Mchaka ni wimbo mpya wa Country Boy ama waweza muita Country Wiz kutokana na style yake anavyoimba, ameachia kazi hii lakini wakati huu akiwa na yule mtata wa flow 'Bayser' Mr Blue.
Ukiwa na lolote usisite kuacha maoni yako hapo chini..
Enjoy!!
No comments: