Langa aliweza kuimalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake.
Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus.
Pata ngoma hii ambayo kila ukiisikiliza utagundua kuwa Langa alikuwa anaongea na mashabiki
No comments: