728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
02 June 2014

Download | Mike Tee – Mchepuko [Audio & Lyrics]
ARTIST ; MIKE TEE
SONG ; MCHEPUKO
PRODUCED BY HERMY B / VOCAL BY PRODUCER MBEZI

INTRO
Wengine tunaita kazi za nje
Wengine wanaita vidumu
Wengine wanaita …………..
I cant tellVERSE ONE

Sio lazima commitment am down for whetever
Nnachoomba ni usiku mmoja tu/ sio lazima tu lovers/
Nakuona kama nyota nataka japo nikuguse tu/
Nitoe na usiku mmoja baada ya hapo usinikumbuke boo/
Sitajifanya nakujua kama ukija na bwanaako/
Ntakupa mikausho me kivyangu we kivyako/
Na ukiondoka unanikonyeza ntakusonya (sikujui)
Roho hainiumi kabisa ntajifanya (sikujui)
Nifanye kama bustani bwanako awe shamba mpe asilimia zote me nipe unyumba/
Na wala hatusemi hata marafiki wasielewe/
Kwanza hakuna sababu acha wambea wapungue/
Sehemu usizowahi kwenda wala kuota kufika/
Japo sihongi kama wazee chini ya paa utaridhika/
Wote hawajui kutumia kiuno chako inavyopaswa/
Ukiniacha midomo macho hayafungi kabisa/


CHORUS

Tufanya chinichini kisiri siri
Hata kina fododingo wasielewe kamwe x 4


VERSE TWO

Namna yangu ya mtazamo haisemi kama unalingana nae/
Vingi ntafanya na naamini hujafanya nae/
Sio bifu na yeye atajuaje utamwambia?
Siwindi roho yake haitamuuma hatajua/
Nyuki anachomwa moto kila siku kwa asali yake/
Demu mzuri kama wewe vipi ammege peke/
Ntangoja asafiri siku akiwa mbali/
Unifanye kama ndoto unisahau siku ya pili/
Kuna machimbo ya kweli mengi tu hawatakuona/
Utaingia utatoka na utarudi home salama/
Niite me kazi yako ya nje ntakuja ukitaka happy/
Mahusiano yakikuchosha (no strings attached)
Ukibaki peke yako ukiweza kutoka kwako/
Basi wewe nigongee nifurahishe moyo wako/
Nataka/ tumia muda wangu kwa dunia yako/
Nawaza sex in the limo nionapo miguu yako/
Yeah


CHORUS

Tufanya chinichini kisiri siri
Hata kina fododingo wasielewe kamwe x 4


VERSE THREE

Tujiibe kila tuwezavyo hivyo ndivyo mji uendavyo/
Watu wazima hawadanganyani hupeana hali ilivyo/
Nipe nikupe ni raha ya mapenzi tupate sote/
Kwenye mwanya tutumie hata mashushushu wasielewe/
Me cassanova sio romio/ michezo ndio naitaka/
We ni instrumental kali unahitaji verse za mwaka/
Natamani nikuulize umevaa thong au g string/
Unitajie rangi kuwa ni nyekundu au pink/
Natamani kusikia maneno ukiwa kileleni/
Na wakati wa kuondoka nisikie utasema nini/
Ntakufanya za ndotoni ntakulea kama yai/
Royal treatment naahidi hata malkia hafai/
Sitajifanya nakujua kama ukija na bwanaako/
Ntakupa mikausho me kivyangu we kivyako/
Na ukiondoka unanikonyeza ntakusonya (sikujui)
Roho hainiumi kabisa ntajifanya (sikujui)


CHORUS

Tufanya chinichini kisiri siri
Hata kina fododingo wasielewe kamwe x 4OUTRO

Hahaaa haya maneno toka kwa askofu au sio/
Yeah najua unashangaa/ y?
(yeah) haya maneno yapo hata kwenye khanga sio
Usiige maisha nnayoishi mimi
Usifuate kauli yangu / maisha halisi ya kwangu hayapo kwenye verse
Najua hata kijana hapa anaelewa
CIAO

Download | Mike Tee – Mchepuko [Audio & Lyrics] Reviewed by Nolniz on Monday, June 02, 2014 Rating: 5

[Music][carousel1]

No comments: