728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
05 June 2014

Download | Joslyn Ft Stopa The Rhymecca - Tesa Nae [Audio]


Baada ya kufanya ngoma iliyojulikana kwa jina la "Sio Kiivyo" yenye mahadhi ya riddim, wasanii wawili wakali katika gemu la Bongo Flava ambao kila mmoja anauwezo wake tofauti na ni tofauti ukisikia tu unajua huyu ni Joslin au huyu ni Stopa The Rhymecca kutokana na utofauti wao musically. Sasa wanarudi na ngoma nyingine kali inayofahamika kwa jina "Tesa Nae" wimbo ambao unategemea kutoka siku ya Jumatano 21/5/2014 na kusikika katika radio stations mbalimbali pamoja kwenye mitandao ya kijamii.

 Ngoma hiyo imetengenezwa na mtayarishaji wa mapigo ya muziki anaefahamika kama Davi_Dizzo ndani ya Legend Studio..Kaa mkao wa kula isubiri "Natesa Nae" kutoka kwa Joslin akiwa amemshirkisha Stopa The Rjymecca..Stay Tuned.


Download | Joslyn Ft Stopa The Rhymecca - Tesa Nae [Audio] Reviewed by Nolniz on Thursday, June 05, 2014 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: