728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
27 January 2014

Download | Kichomi ft D wa Maujanja Saplayaz & Jambo Squad - Pande Zao [Audio]


Kichomi Dax anayerep kundi la North Dwellers ambao wamekuja kwa kasi na wimbo wao unaoitwa Original hivi karibuni anafungua mwaka kwa anthem hii "Pande zao" akiwa amewashirikisha Jambo Squad walioibuka kuwa kundi bora la mwaka 2013 pamoja na Dotto - D Wa maujanja Saplayaz wanakwambia Pande Zao mpango mzima toka Grandmaster Records chini ya John Blass na Dj Az ambaye kwa sasa yupo India kuendeleza shughuli zake za muziki.
Download & Sikiliza pande zao hapa


Download | Kichomi ft D wa Maujanja Saplayaz & Jambo Squad - Pande Zao [Audio] Reviewed by Nolniz on Monday, January 27, 2014 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: