728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
01 July 2013

Download | Maujanja Saplayaz ft Moplus, JcB & Gnako - Kipande na Wana [Audio]


Brand new Hiphop Track toka kwa Magenge ya mwenge akiwemo D wa maujanja, K wa maujanja, Moplus, Gnako pamoja na JcB katika "Kipande na wana" ikiwa ni mkono toka Noizmekah, pata kusikiliza HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano na MaujanjaSaplayaz check na +255 714 992 306 au +255 713 233 203
Download | Maujanja Saplayaz ft Moplus, JcB & Gnako - Kipande na Wana [Audio] Reviewed by Nolniz on Monday, July 01, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

1 comment:

  1. Nolniz kwanza nikupe big up kwa kuanzia blog hii Mungu azidi kukupa afya, Maana unatupa fursa sisi wavivu wa kwenda madukani wanakouza DVD na CD kuzipata nyimbo zote mpya hapa nyumbani kwako! Najua unapita na kusoma coment za wadau kuna kitu cjui kwanini unakiacha nyuma nyimbo za dini? Sina maana uwe unaupdates zote rahasha zile kidogo zenye kupendwa na wengi! Nakuomba unifanyie msaada wa albamu mpya na nyimbo zake huyu bwana Ambwene Mwasongwe - Misuli ya Imani (CD)
    1. Upendo wa Kweli
    2. Misuli ya Imani
    3. Kuaminiwa na Mungu
    4. Tangulia Mbele
    5. Hakuna kama Yesu
    6. Nguvu ya Msamaha
    7. Natamani
    8. Yatima
    9. Ndoa
    10. Tulikotoka
    11. Karibu…
    uibandike hapa au kama hautaona usumbufu nitumie hata katika email yangu mweagachoki@gmail au michaelmbaga@yahoo.com ni Niweze kuzidownload najua lipo ndani ya uwezo wako. Samahaani kwa usumbufu utakaojitokeza!

    ReplyDelete