728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
07 March 2013

Download | Eslyne - Pride Down [Audio]


Eslyne ni mdogo wake Ray C?
Kwa muonekano wa ghafla waweza dhani hivyo tokana na mfanano fulani wa sura au labda pozi za picha, labda tufatilie kwa undani yawezekana kuna undugu tusioufahamu kati yao
But in the mean time fanya ku-Download this new Bongo RnB song "Pride Down" produced at Noizmekah Studios ndani akiwemo Mwanadada Eslyne na sauti yake ya kinyamwezi toka Arusha Tanzania Bofya HAPA
 
Download | Eslyne - Pride Down [Audio] Reviewed by Nolniz on Thursday, March 07, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: