SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA NOLNIZ BLOG


Norlens Wales | 1:47 AM |


Nolniz Blog inayofuraha na kuwatakia heri ya mwaka mpya woote mliofanikiwa kuuona mwaka 2013 kwa namna moja au nyingine kwani ni wengi walitamani nao kuwa miongoni mwetu lakini ikashindikana kwa sababu tofauti tofauti!! Sote tuliofanikiwa kuuona mwaka huu ni jukumu letu kumshukuru Mungu kwa kutuongezea na kutufanikisha kuona mwaka mwingine tena.

Tunawashukuru wale wote walioonesha mchango wao na wote wanaoendelea kuonesha mchango wao na kuifanya Blog hii iendelee kuwepo na kuendelea kung'ara. Ni zaidi ya familia sana na tunaahidi mengi kwa mwaka huu 2013.. Tunaamini ni vigumu kutimiza mahitaji ya kila mmoja wetu lakini pia tutafurahi kusiki ni kitu gani ungependa kiongezwe ili uweze kuifurahia zaidi blog hii...!!
Usisite kutujuza pale tunapoharibu..

" Mwisho kabisa tuombeane Mwaka huu uwe wa mafanikio kwetu na wenye baraka kwa kila mmoja mwenye pumzi"

HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL & BE BLESSED

Norlens Wales,
Admin,
Nolniz Blog .

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS