728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
10 January 2013

Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee & Dully Sykes

Huu ni muendelezo wa 147 Critics ambapo leo tutawasikiliza wadau na wanamuziki muhimu kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee (3) na Dully Sykes (4) ufahamu wao kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147
yanayogusa Muziki na Filamu.
Tuwasikilize hawa katika wakati tofauti Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee (3) na 147 Critics:Dully Sykes (4) wakiwa ni watu wa tatu na nne kuelezea maoni yao kupitia link hizi:-


Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee 
147 Critics:Dully Sykes Wasalaam.
E.N.M.Manase
Mdau -TFCA

Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee & Dully Sykes Reviewed by Nolniz on Thursday, January 10, 2013 Rating: 5 Huu ni muendelezo wa 147 Critics ambapo leo tutawasikiliza wadau na wanamuziki muhimu kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya Judith D.M W...

[Video][carousel1]

No comments: