New Track | Gfayafaya na PaR Paa - Ngaleloo


Norlens Wales | 12:26 AM |

Round hii tena na tena Gfayafaya na PaR Paa kwa support kubwa ya Deejay Eleven na dude lao jipya kabisa wakiwakilisha The Bignation Ilboru 4 life!pini linakwenda kwa jina "ngaleloo" ikiwa ni chuga raggaton style.download hapa kwa hisani ya noizmekah studios arusha.
Keep supporting Tanzania.

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS