New Track | "Cash Clan" toka pande za Arachuga


Norlens Wales | 12:22 AM |


Kutana na kundi chipukizi "Cash Clan" toka pande za Arachuga hapa ikiwa ni single yao matata mahadhi ya club banger ama "bounce" kama wengi wanavyoziita,mdundo ukiwa ni track ya "YoungCash" Kiongoz wa kundi la Cash Clan akiwashirikisha "JYP" pamoja na "Mjukusalo" na ngoma wameipa title "Fikra Zangu" ikiwa ni mara ya kwanza kutua pande za noizmekah.com kwa Defxtro. Support yenu wadau ni muhimu katika safari yetu kwenye game na holla nasi kupitia 0655700947 kwa Interview/Bookings. Amani kwenu...
Enjoy......

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS