New Track | Bee Man ft KC & Narx - Niambie


Norlens Wales | 1:05 PM |

B-man anayejulikana vema kwa collabo ya "hello" aliyofanya na Matonya round hii anakuja na "Niambie" ikiwa ni bounce track toka noizmekah.com kwa Defxtro humo akiwa amemshirikisha KC toka FBG & Narx ndani ya bounce hilo,support kwa kudownload HAPA ngoma shavu zaidi kwa wadau wote media na fans wa Bman,holla kupitia 0712555030 kwa mahojiano/bookings na Tshirts zangu mpya kibaooooo

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS