Download Track mpya kutoka kwa Kasaloo Jr Ft.Spince Seseme Ngoma Inaitwa 'BASI SAWAH' Ni Ngoma Flani hivi ya AFRO POP Imefanywa SWAHILI SWAGGz na mikono Ya The Female Producer ILUMINATHA JOHN a.k.a ILUMINATION..,Ujio huu ukiwa ni wa pili Wa KASALOO Jr Baada Ya RUDI NYUMBANI..., Support yako bado inahitajika ili jamaa Afike Climax, Pia Bado Anahitaji Management Poa,..
Pia KASALOO ni mtoto wa mwanamuziki marehemu KASALOO KYANGA Alietamba Enzi Hizo Na Nyimbo kama MAKUMBELE, KARUBANDIKA Na SAFARI SIO KIFO Akiwa Na Kundi La MARQUIZ DU ZAIRE.., Mtoto wa nyoka ni nyoka, pia jamaa yupo kwenye BAND YA SANDTON na Ni MC Wa OUTDOOR EVENTS...,\WE NEED YOUR SUPPORT JAMAA AFIKIE MALENGO..;
Kama umemuelewa na unaweza kufanya nae Biashara ya muziki Chek Numba Hizi 0713 317360 Au 0716 856361....!
KASALOO JUNIOR!
©2012 Nolniz Blog™

I got ur back
ReplyDelete