728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
28 September 2012

Biography | BONTA & MO PLUS

BONTA 

BONTA 
Jina kamili Godfrey Nyahongo,kichwa kutoka River Camp,alizaliwa tarehe 13 mwezi wa 12,
Bonta alianza muziki mwaka 1997, ni msanii wa hiphop, mhitimu toka mzumbe na mtaalamu wa mambo ya afya, amewahi kufanya kazi na wasanii kama Niki wa pili,Joh Makini,LOrd Eyz,G Nako,Hussein Machozi,Belle 9,Chindo,Stoppa na Faridah, amewahi kuhit na ngoma zake kama Nauza kura yangu,Kila kitu Nyerere na Matusi,Weusi Kampuni
Facebook; http://www.facebook.com/bonta.concious?ref=ts


MO PLUS(CHANYA)

 MO PLUS(CHANYA) 
Jina kamili Mohamed Joseph,maarufu kama Mo plus,Chanya au Baba wa Ukoo,alizaliwa tarehe 4 mwezi wa sita mkoani Arusha,ni kichwa cha ungalimited akiwakilisha Kambi Tata,amewahi kufanya kazi na wasanii kama Joh Makini,G Nako,Roma na JCB,baadhi ya nyimbo zake ni pamoja na request line,baba alisema,X-ray na movement aliyoifanya na Slim Deezy wa North Dwellers,kwa sasa MO Plus amejichimbia akifanya project ya pamoja na JCB itakayoitwa Makalla Wa Ukoo
Facebookhttp://www.facebook.com/mo.plus.9?ref=ts

Stay tuned tukizidi kutambulisha vichwa vilivyomo ndani ya wimbo wa Wazi,pamojah.....

John Blass Mallya
For,
 Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music 
+254729990851, +255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com

©2012 Nolniz Blog™
Biography | BONTA & MO PLUS Reviewed by Nolniz on Friday, September 28, 2012 Rating: 5 BONTA 

[Biographies][carousel1]

No comments: