Video mpya ya Jambo Squad "MAMONG'OO" Soon itakuwa hewani


Norlens Wales | 7:03 PM |

Almando NIGGA C Chalii mtoto wa Bibi akiongea na fans wa Jambo squard  kupitia Nolniz Blog, amewataka kuisubiria video nzuri, kitu kipya ndani ya video kali ya wimbo wao wa "MAMONG'OO" ambayo wameiandaa kwa ajili ya wote wanaokubali mziki wao na kazi wanayoifanya...!!
Almando Nigga C, Chalii mtoto wa Bibi amesema kwa sasa ndo wanamalizia video ya Mamong'oo na Soon wataicheki kupitia nolniz.blogspot.com.
"Ndo tunamalizia video ya Mamong'oo.. na fans wa Jambo Squard kupitia nolniz.blogspot.com wasubirie kitu hichi kikali kutoka kwetu!! Soon utaicheki kupitia www.nolniz.blogspot.com"
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS