728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
31 August 2012

Jambo Squad aka Mamong'oo waja tena - Mporipori

Download track mpya ya Jambo Squad Mporipori
.....Na hii ni story ya mporipori, Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa, Sanawari kwenye mataa anabaki ameduwaa" ndio maneno ya Jambo Squad katika wimbo wao mpya ya "Mporipori" ilosukwa pande za noizmekah.com chini ya defxtro,Ikiwa ni official release yetu sambamba na Jogoo Kichaa baada ya Mamong'oo,Tunawapa gwara fans wetu wote kwa support wanayotuonesha kuchagua tracks zetu radio na clubs zote around East Africa,Much love Kwa media zinazotupa shavu.
Holla 0563610249 for Bookings/Interviews/Projects.One Love



©2012 Nolniz Blog™
Jambo Squad aka Mamong'oo waja tena - Mporipori Reviewed by Nolniz on Friday, August 31, 2012 Rating: 5 Download track mpya ya Jambo Squad Mporipori .....Na hii ni story ya mporipori, Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa, Sanawari kwenye m...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: