Eminem ndiye msanii wa music anayependwa zaidi Facebook


Norlens Wales | 1:54 PM |


Huku akiwakimbiza Rihanna na Lady Gaga, Eminem ndiye msanii katika tasnia ya music anayependwa zaidi katika mtandao wa Facebook. Akilinganishwa na Lady Gaga mwenye (likes millioni 53) na Rihanna (Mashabiki milioni 59), Eminem kwa sasa ana zaidi ya mashabiki milioni 60 kwenye ukurasa wake wa facebook...!!
Kwa upande wa twitter bado mwanadada Laddy Gaga ndiye malkia wa huko akiwa na followers milioni 27.8,  namba mbili akiwa ni Justin Beiber akifuatiwa na Rihanna huku Eminem pande hizo akiwa na Followers milioni 11.8 tuu..!!

©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS