Vatoloco Junior Gangs,Kundi la hiphop toka Chuga na brand new joint ya Tamaa na jala, ikiwa ni noizmekah.com production chini ya udhamin wa Aslam Ramadhan,manager wa "Vatoloco the Red" ,kundi linaloongozwa na FidoVato..Junior gangs ni young and talented Hiphop Mcs wenye mengi ya kuwakilisha.Support & hit replay yaa'll
©2012 Nolniz Blog™
No comments: