New Music: Kigoma All Stars – Leka Dutigite


Norlens Wales | 7:28 PM |

Track mpya ikiwa ni mjumuiko wa Wasanii takribani woote wanaowakilisha mkoa wa Kigoma LEKA DUTIGITE maana yake ni acha tujidai, imetengenezwa na Tuddi Thomas na ndani yake kuna Diamind, Mwasiti, Ommy dimpoz, Linex, Baba Levo, Recho, Peter Msechu, Banana, Makomando na wengineo. Download hapa chini
DOWNLOAD HAPA

©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS