Madaktari wakiri ubongo wa mtoto wa Usher Rymond Umekufa


Norlens Wales | 12:36 PM |

Baada ya majuzi jumapili Nolniz Blog kuwajuza kuhusu ajali iliyompata mtoto wa kwanza wa Tameka Raymond, madaktari wametangaza ubongo wake kufa kufuatia ajali aliyoipata mwishoni mwa wiki.
Glover Kyale mwenye umri wa miaka 11 aliumizwa sana maeneo ya kichwani na Kyle kupelekwa mara moja hospitalini na ambapo madaktari rasmi waliokuwa wakimhudumia walitangaza kuwa ubongo wa mtoto huyo ni mfu baada ya kutoonekana mishughuliko yoyote ya kawaida ya ubongo kwa siku mbili.
Vyanzo vya habari vinasema kwamba wote Usher na Tameka wamedumu pembeni ya kitanda cha mtoto wao na kwamba Kyle bado yupo kwenye Life support machine.
Tameka alitoa mahojiano mafupi na Radar Online kuhusu hali ya mtoto wake. Aliiambia tovuti hali ya mtoto bado ni mbaya.....
Nasi kama Nolniz BLOG, Tunawatakia Usher na familia zao katika mawazo na maombi kwao kuweza kukabiliana na janga hili la kutisha.

©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS