728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
21 July 2012

Brand new Track | Gentriez - Track Mwanzo mwisho


Hizi ndo zile tunaziitaga don't try this at home nyeusiii... Baada ya kusomeka sana na ngoma yake ya ARUSHA BOY then akaja tena na mkwaju mwingne NNA KILA SABABU aliomshirikisha chalii mtoto wa bibi... HUKU KWENYE TV AKIENDELEA KUBANG NA ARSHA BOY VDEO And now AMEKUJA KUUMIZA TENA NA HII K2 HAPA INAITWA MWANZO MWISHO/mic ya umeme..Ngoma ina bars 64... Imefanyika katika studio ya Nisher Record.. Haina intro wala chorous ni michano mwanzo mwisho


©2012 Nolniz Blog™
Brand new Track | Gentriez - Track Mwanzo mwisho Reviewed by Nolniz on Saturday, July 21, 2012 Rating: 5 Hizi ndo zile tunaziitaga don't try this at home nyeusiii... Baada ya kusomeka sana na ngoma yake ya ARUSHA BOY then akaja tena na mk...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: