TAKE CARE | Namba tisa kwa mauzo


Norlens Wales | 11:32 AM |


Album ya Drizzy "Take Care" imefanya vyema sokoni na kutinga nafasi ya Tisa katika Records za mauzo ya Albums kwa physical & Digital Copies.
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na HipHopDx, Nielsen Soundscan wametoa annual report yao na Katika Hip Hop, albamu ya Drizzy imekuwa namba tisa kati ya albamu zilizouzwa zaidi. Take Care ambayo ilitoka november 2011 imeuza copy 549,000 katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo wa mwaka na pia albamu hiyo imeshika nafasi ya 5 katika mauzo kwa mfumo wa digital huko ikisukuma unit 251,000
Ripoti ya Nielsen pia imeonesha jumla ya CD 91,000,000 zimeuzwa mpaka sasa kwa mwaka 2012©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS