AY ft Marco Chali - Party Zone [Official Video]


Norlens Wales | 8:52 PM |

Finally Ile Video Ya AY akiwa kamshirikisha Marco Chali imetoka official "Party Zone" ikiwa imetengenezwa na producer Marco Chali

Video hii imechukuliwa nchini South Africa
With good directing skills from THE GODFATHER PRODUCTION
Na imemgharimu AY dolla za kimarekani elfu ishirini (20,000), sawa na milioni thelathini na mbili za kitanzania (32,000,000).


6 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS