728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 May 2012

Lady Gaga - Hajachumbiwa Bado

Mbali na picha kuonesha hivyo Lady Gaga ukweli waja nje...!!
Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha hapo juu iliyopata umaarufu na kuwa gumzo Iliyopostiwa na Terry Richardson ikiwa na caption, "Gaga showing
off her new engagement ring!"
Ila chanzo chetu kimekanusha hilo na kusema ni pete tuu na Gaga is not
engaged to anyone.

It's unclear if Gaga is
even dating anyone right now ... Kwani sio muda tangu wameachana na BF wake Taylor
Haiyaaa tusubirie tuone what's goes on pande za kwa Ob



©2012
Nolniz Blog™
Lady Gaga - Hajachumbiwa Bado Reviewed by Nolniz on Monday, May 14, 2012 Rating: 5 Mbali na picha kuonesha hivyo Lady Gaga ukweli waja nje...!! Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha hapo juu iliyopata...

[][carousel1]

No comments: