728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
15 May 2012

Jay Z amsupport Obama kuhusiana na ndoa za Jinsia moja

Tangu Obama alipotangaza wazi kua hana tatizo na ndoa za Mashoga (gay marriage's) wiki iliyopita, Jay Z naye aongelea kuhusu jambo hilo!
JaY Z alikaririwa na kituo cha CNN akisema
"What people do in their own homes is their business and you can choose to love whoever you love" (akimaanisha Vitu watu wanavyovifanya manyumbani mwao ni biz zao wenyewe na unaweza kuchagua kumpenda yeyote unayempenda)
Akaongeza kuwa Obama hajafanya makosa kukubaliana na jambo hilo japo litamsumbua sana ikiwemo kukosa kura katika uchaguzi ujao kwa kusupport ndoa za jinsia moja kwani Makundi mbalimbali ya Dini yamekerwa na uamuzi huo
"I think it's the right thing to do as a human being." Alimalizia Jay Z.


©2012 Nolniz Blog™
Jay Z amsupport Obama kuhusiana na ndoa za Jinsia moja Reviewed by Nolniz on Tuesday, May 15, 2012 Rating: 5 Tangu Obama alipotangaza wazi kua hana tatizo na ndoa za Mashoga (gay marriage's) wiki iliyopita, Jay Z naye aongelea kuhusu jambo hilo!...

[][carousel1]

No comments: