728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
16 May 2012

BouNako - Jembe la Kaskazini

BouNako a.k.a Jembe la Kaskazini Amedondosha ngoma nyingine special kwa fans wa Hip Hop hii ndio
"Jembe la kaskazini" ikiwa
ni single inayofata baada ya ile ya "Mara Hoo" ambayo
imefanya vema mtaa na media kwa miez mitatu ilopita. "Game ni gumu tangu enzi za baba zetu likini kukata tamaa sio suluhu wala haisaidii, nakomaa kwa maana mashabiki zangu ndio wananipa nguvu ya kutifua" hii ni zawadi kwenu kwa support
yenu kununua T-shirt za J.E.M.B.E na iko wazi mimi sio kitu bila ninyi, skilizieni more thingz zinakuja "WALETE" pamoja na
"ACHENI"



DOWNLOAD HAPA


©2012 Nolniz Blog™
BouNako - Jembe la Kaskazini Reviewed by Nolniz on Wednesday, May 16, 2012 Rating: 5 BouNako a.k.a Jembe la Kaskazini Amedondosha ngoma nyingine special kwa fans wa Hip Hop hii ndio "Jembe la kaskazini" ikiwa ni...

[][carousel1]

No comments: