ShyRose Bhaji na wengine nane washinda nafasi za uwakilishi bunge la Afrika Mashariki


Norlens Wales | 9:03 AM |

Hawa ndio walioshinda kuwa
wabunge wa Afrika
Mashariki ,Shayrose Banji, Anjela
Charless Kizigha, Mwinyi
Hassan, Taslim Twaha Issa, Kesi
Ndelakindo Perepetua, Kimbisa
Adam Omary,Murunya
Bernad,Makongoro Nyerere na
Yahya .
Tunawapongeza kwa ushindi huo
na pia tunawatakia kila la kheri
katika majukumu yaliyo mbele
yao na kuiwakilisha vyema Tanzania huko waendapo.2012© Nolniz Blog®

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS