Download | Quick Rocka - Sophia Remix (Reggae Cover) [Audio]


Norlens Wales | 1:00 PM |

Download | Quick Rocka - Sophia Remix (Reggae Cover) [Audio]

Baada ya Peter Msechu kufanya cover yake ya wimbo wa Ben Pol ‘Sophia' Quick Rocka amekuja na yake ila iliyopo kwenye mahadhi ya reggae. Switcher ameyabadilisha pia majina ya maeneo yaliyotajwa na Ben Pol kwenye Original Version na kuweka majina ya Mbeya anapotokea.
Enjoy!!0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS