728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
27 December 2014

Download | Ezden The Rocker Ft. Squeezer - Niko Hivi [Audio & Lyrics]THE LYRICS
SONG: NIKO HIVI
ARTISTS: THE ROCKER Feat. SQUEEZSqueezer
Produced by EMAX


INTRO
And don’t ever say u don’t have enough time..coz u know what everybody
has 24 Hours.

VERSE 1: The Rocker

Niko Niko hivi makini na mikataba/
Navyozichabo herufi hadi lenzi naipiga raba/
Niko Niko chimbo ka vidole ndani ya raba/
Nikitoka na hasira mpaka usawa nitaukaba/
Niko mi simpo simpo we boya acha kunipima/
Sura ka yakitoto akili za kiutu uzima/
Niko msawasawa kama mizani na vina/
Kisa ulinitosa jana haimaanishi nitakunyima/
Niko niko peace sina mpango na ubinafsi/
A lot of chicks feel me siwatumii kwa mikasi/
Niko nimeacha gap kati yangu na mitungi/
Aah aah mtafute Jeff mi sili mirungi/
Niko niko real nasongesha ndani ya game/
Siku bora iishe na wana siuzi sura na mademu/
Niko mi najipanga faulisha biashara yangu/
Wala, sijali wanga sifatilii mambo ya wenzangu/
Niko napenda usawa siamini kwenye dhuluma/
Kijana bado na power chamsingi ni kujituma/
Kujikwaa sio kuanguka, chunga usijikwae ulimi/
Kitambulisho tafuta sio unakesha kua mimi/

CHORUS: Squeezer


Niko hivi – Usinifananishe na dokta labda nitakutibu/
Niko hivi - Unifananishe na mwalimu – nitakupa elimu/
Niko hivi – labda unifananishe na preacher, a good teacher/
Niko hivi – Usinifananishe na polisi – HEY MR POLICEE/
VERSE 2: The Rocker
Wala usijiulize sana, niko simpo niko poa/Namshukuru tu Maulana, bado jahazi naokoa/
Nimejikita, mambo na fani zile naamini/
Sipendi sifa, za wajinga wachache wa hapa mjini/
nafungua tu kurasa, za madini yangu store/
Peni pepa na kinasa, lemme show u to flow/
I got it all, big voice , metaphors n flow/
Ya already know, I don’t trust nobody since before/
The way I am, usipime fikra zangu ni kiwango/
Way I am, fanya mpango usinifanye chambo/
I got ma name, Ezdee The Rocker mbishi toka mwanzo/
Its not fame, Sitaki mi ulemavu wa mawazo/
Mjenzi kwenye miti, mbishi kwenye biti/
Vocal zangu zinasimama nikikaa kwenye kiti/
Mitazamo inafanana mpaka maisha nayoishi/
Na jiko nitakalo vuta napenda lijue mapishi/
Mwanangu bado mdogo, ananicheki kama leader/
Alhamdulillah pombe nimeacha kugida/
Najipanga nisije tena kupoteza mida/
Nione mwanga nisikutane tena na kina…/

CHORUS: Squeezer
Niko hivi – Usinifananishe na dokta labda nitakutibu/
Niko hivi - Unifananishe na mwalimu – nitakupa elimu/
Niko hivi – labda unifananishe na preacher, a good teacher/
Niko hivi – Usinifananishe na polisi – HEY MR POLICEE/
Download | Ezden The Rocker Ft. Squeezer - Niko Hivi [Audio & Lyrics] Reviewed by Nolniz on Saturday, December 27, 2014 Rating: 5

[Music][carousel1]

No comments: