Download | Q Chilla Ft. MB Dog - Nipende Nikupende [Audio]


Norlens Wales | 11:34 PM |

Baada ya kimya kirefu, Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa akiwa ndani ya Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment, Apex Group Of Companies,Chini ya Meneja Eric Mbeyale wa Jijini Dar Es Salaam.Na single yake ya kwanza chini ya Uongozi mpya anaiachia inaitwa Nipende Nikupende ikiwa imeandaliwa na mtayarishaji C9.
Mahojiano/Mawasilano zaidi check na nambari +255 716 877 764


0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS