Tash - Coming Soon


Norlens Wales | 4:17 AM |Trak mpya kutoka kwa Tash A.k.A Masai tozi .....ikiwa imetengenezwa chini ya producer
Mesen Selekta itasikika soon.
Kutoka kwake Tash, amewataka Wapenzi na mashabiki wa Tash Mzee wa MuleMule wakae mkao wa kula maana ni historia mpya pia ndani ya muziki
huu wa bongo flava............
New Hit Coming
Soon!!!!!

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS