728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
28 November 2013

Coming Soon | NorthDwellers Ft Dee Cee [Audio & Video]


Baada ya kusubiriwa kwa muda,vijana wa NorthDwellers sasa wapo katika final steps za kuachia ngoma yao ikiwa ni audio na video ya wimbo unaoitwa "Original" wakiwa wamemshirikisha Dee Cee,
"Tanzania inapitia mambo mengi sana,tumeona bora tuwafikishie watu kipande cha yale tunayoyaona na kushauri vile sisi tunavyoona mambo yafanyike,ni kitu flan kitam hivi,this time John B ameungana na new talent Hadjihandro kuusuka huu mziki mzuri,halafu kideo kikasimamiwa na Inno wa Red Films,kila kitu kipo tayari tayari so muda si mrefu kitanuka" anasema Slim wa NorthDwellers,kwa maelezo zaidi unawezacheck na Slim +255713933797 au John B kwa mawasiliano hapo chini
John Blass Mallya (John B)
For, 
    Grandmaster Records, Cannibal Shattah & Makini Music

    +255787276352+ 255754201643+255715201643, + 254729990851
www.prezzomusic.com
Coming Soon | NorthDwellers Ft Dee Cee [Audio & Video] Reviewed by Nolniz on Thursday, November 28, 2013 Rating: 5

[News][carousel1]

No comments: