Kutoka kwa Ladyfire Mtoto wa Bibi anayelelewa na familia ya Jambo Squad baada ya kimya kirefu sasa anarudi tena na hapa anatambulisha ngoma yake inayoitwa Kaka Kibo round hii akiwa kitofauti zaidi na alivyozoeleka ili kutoa burudani na kuelimisha zaidi
Song Credits
Song; Kaka Kibo
Artist; Ladyfire backups by Chalii Mtoto Wa Bibi & Ordinally (Jambo Squad)
Producer; John B
Grandmaster Records

Song Credits
Song; Kaka Kibo
Artist; Ladyfire backups by Chalii Mtoto Wa Bibi & Ordinally (Jambo Squad)
Producer; John B
Grandmaster Records
No comments: