Download | Kichomi ft Mapacha, Bou Nako & J Dea - Inasoma [Audio]


Norlens Wales | 12:14 AM |
 

Hii ni toka kwa Dax Kichomi,mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la North Dwellers lililopo pande za kaskazini,hapa akiwa na Maujanja Saplayaz,Bou Nako pamoja na J Deal ambaye ni msanii mpya anayesimamiwa na producer John B wa Grandmaster Records,hii ikiwa ni moja ya ngoma zitakazoitambulisha mixtape ya Dax inayotarajiwa kutoka mapema mwakani

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS